Ripoti ya utafiti juu ya upataji Elimu ya awali kwa
watoto wenye ulemavu Tanzania Bara , iliyozinduliwa sepemba 14, 2021 na Shirika la
Haki Elimu Tanzania Utafiti ulio fanyika ukihusisha maeneo matatu ya Shule ambayo ni shule
shikizi, jumuishi na za kawaida, kusudi ya ujumuishaji wa vipengele hivi
ilikuwa kuelewa kama kulikuwa na tofauti katika suala la upatikanaji wa
miundombinu ya kubeba watoto wa shule za awali wenye ulemavu kulingana na
utofauti wa shule.
Matokeo yalifichua kuwa Shule za umma zina
miundombinu midogo ikilinganishwa na shule jumuishi. Kwa mfano, Asilimia 75 ya
shule-jumuishi hazina vyoo maalum vilivyotengwa kwa ajili ya wanafunzi wenye
ulemavu.
Ni asilimia 57 tu ya shule jumuishi hazina
vyoo vya wanafunzi wenye ulemavu. Takriban asilimia 34 ya shule-jumuishi hazina
njia panda ikilinganishwa na asilimia 30 ya shule jumuishi.
Chanzo: Haki Elimu
Waandishi wa Habari na wachambuzi wa Takwimu
hizi ni : –
John Kabambala: [email protected]
Hamad Rashid: [email protected]