kwa mujibu wa ripoti ya utafiti juu ya
upataji Elimu ya awali kwa watoto wenye ulemavu Tanzania Bara, iliyozinduliwa
sepemba 14, 2021na Shirika la Haki Elimu Tanzania, katika ukurasa wa kwanza
Ripoti inaonesha watoto wenye ulemavu waliosajiliwa walikua 17,77 walio
na umri wa mika minne hadi mitano Mwaka 2019.
Kutoka kweye Shule za Serikali walikua watoto 16,155 sawa na 90.9% wakati
katika Shule za binafsi walikua watoto 1,616 sawa na 9.1%.
Chanzo:
Haki Elimu
Waandishi
wa Habari na wachambuzi wa Takwimu hizi ni: –
John Kabambala: [email protected]
Hamad Rashid: [email protected]