kwa mujibu wa ripoti ya utafiti juu ya
upataji Elimu ya awali kwa watoto wenye ulemavu Tanzania Bara, iliyozinduliwa
sepemba 14, 2021na Shirika la Haki Elimu Tanzania, katika ukurasa wa kwanza
Ripoti inaonesha watoto wenye ulemavu wa viungo walisajiliwa kwa wingi kuzidi
makundi yote ya watoto wenye ulemavu, kuanzia mwaka 2017-2019.
Kundi la watoto wenye
ulemavu wa viungo liliongoza kwa kua na watoto 3,391wakifuatiwa na kundi la watoto wenye ulemavu wa akili jumla
yao ilikua 2,861 kwa darasa la
chekechea kipindi cha miaka miwili Tanzania Bara.
Chanzo:
Haki Elimu
Waandishi
wa Habari na wachambuzi wa Takwimu hizi ni: –
John Kabambala: [email protected]
Hamad Rashid: [email protected]