kwa mujibu wa Ripoti ya utafiti juu ya
upataji Elimu ya awali kwa watoto wenye ulemavu Tanzania Bara, iliyozinduliwa
sepemba 14, 2021na Shirika la Haki Elimu Tanzania, katika ukurasa wa kumi na
tano Ripoti inaonesha watoto wenye ulemavu waliosajiliwa walikua 3,713 Mwaka 2017
ilhali mwaka 2019 walikua 4,240.
Ongezeko hilo ni kutoka 14% mwaka 2017
hadi kufikia 21.5% mwaka 2019
Chanzo:
Haki Elimu
Waandishi
wa Habari na wachambuzi wa Takwimu hizi ni: –
John Kabambala: [email protected]
Hamad Rashid: [email protected]