Mwaka 2020, Serikali iliendelea
kuwezesha upatikanaji wa huduma za chakula, malazi, elimu, mavazi na matibabu
pamoja na marekebisho ya tabia kwa watoto waliobainika na makosa ya jinai
katika shule ya maadilisho Irambo – Mbeya.
(Msichana mmoja na wavulana 30) walihukumiwa na kupelekwa katika shule ya
maadilisho Irambo Mbeya ikilinganishwa na watoto 32 (wasichana 2 na wavulana
30) mwaka 2019.
WATOTO WALIO HUKUMIWA |
Mwaka |
Wasichana |
Wavulana |
Jumla |
2020 |
1 |
30 |
31 |
|
2019 |
2 |
30 |
32 |
Chanzo:
Kitabu cha hali ya Uchumi wa Taifa katika Mwaka 2020.
Waandishi
wa Habari na wachambuzi wa Takwimu hizi ni: –
John Kabambala: [email protected]
Hamad
Rashid: [email protected]