Kwamujibu wa kitabu cha hali ya
uchumi wa Taifa mwaka 2020, Serikali iliendelea kuwajengea uwezo wazazi na
walezi wa watoto kupitia maafisa maendeleo ya jamii.
Jumla ya vikundi 2,777
vya malezi viliundwa mwaka 2020 ikilinganishwa na vikundi 1,186 mwaka 2019, Vikundi hivyo vinalenga kuhamasisha na kuhimiza
malezi chanya kwa familia na jamii.
VIKUNDI VILIVYO UNDWA |
Mwaka |
Idadi |
2020 |
2,777 |
|
2019 |
1,186 |
Kitabu cha hali ya Uchumi wa Taifa katika Mwaka 2020.
Waandishi
wa Habari na wachambuzi wa Takwimu hizi ni: –
John Kabambala: [email protected]
Hamad Rashid: [email protected]