Kwa mujibu wa ripoti ya kitabu cha hali ya uchumi wa
Taifa katika Mwaka 2020 kilicho tolewa na Wizara ya Fedha na mipango mwezi
julai mwaka 2021jijini Dodoma, imezungumzia hali ya uchumi katika sekta
mbalimbali nchini.
Katika
sura ya 20 inayozungumzia Afya na Maendele ya Jamii kipengele cha Vituo vya Kutolea Huduma za Afya Mwaka
2020, viliongezeka na kufikia vituo 9,813 kutoka vituo 9,104 mwaka 2019, sawa
na ongezeko la asilimia 7.8.
Aidha Mwaka 2020, watoto 1,823,380
walizaliwa ikilinganishwa na watoto 1,794,856 waliozaliwa mwaka 2019.
VITUO VYA AFYA |
2019 |
2020 |
9,104 |
9,813 |
|
WATOTO WALIO ZALIWA |
1,794,856 |
1,823,380 |
Chanzo:
Wizara ya Fedha na Mipango.
Waandishi
wa Habari na wachambuzi wa Takwimu hizi ni: –
John Kabambala: [email protected]
Hamad Rashid: [email protected]