Kwa mujibu wa Takwimu za utumikishwaji zilizofanywa
na Ofisi kuu ya Taifa ya Takwimu – NBS, kwa kushirikiana na Serikali pamoja na Shirika
la kazi duniani – ILO ofisi ya Tanzania, jumla ya watoto 5,066,890 sawa
na asilimia (36.1%) waliokua katika umri wa miaka 5 – 17, walitumikishwa
wavulana wakiwa 2,662,098 na
wasichana ni 2,404,792.
Aidha kundi
la watoto wa umri wa kati ya miaka 14 – 17 ndio waliathirika zaidi ambapo jumla
ya watoto 2,083,344 sawa na asilimia (62.0%) walitumikishwa katika yao wavulana wakiwa 1,092,323 na
wasichana wakiwa 991,021.
UMRI |
WATOTO WA |
WATOTO WA KIKE |
JUMLA |
5–17 |
2,662,098 |
2,404,792 |
5,066,890 |
5-11 |
1,008,074 |
922,164 (21.9%) |
1,930,238 |
12-13 |
561,701 (47.3%) |
491,607 (45.9%) |
1,053,308 |
14-17 |
1,092,323 |
991,021 (61.7%) |
2,083,344 |
Wandishi
na wachambuzi wa habari hii ni:-
John
Kabambala [email protected]
Hamad
Rashi [email protected]