Waandishi wa habari mkoani Morogoro wameshauliwa
kuongeza bidii ya kuandika,kuripoti na kuibua fursa zinazo wahusu watu wenye ulemavu wakiwemo watoto.

Hayo yamezungumzwa na Nd.Dastan Kamanzi mwezeshaji katika semina ya siku tatu yakuwajengea uwezo waandishi wa
habari namna ya kuandika na kuripoti habari zinazo wahusu watu wenye ulemavu.

Semina hiyo ime andaliwa na chama cha watu wenye ualbino mkoa wa Morogoro(TAS) inayo fanyika ukumbi wa Motel 88.
Aidha Kamanzi
amesema kundi la watoto wenye ulemavu nikundi lenye mahitaji maalumu,hivyo
sauti na mawzo walionayo yanapaswa kusikika ambapo wandishi wanauwezo wakutumia
kalamu zao na kufikisha ujumbe kwa wadau husika wasekta mbalimbali, Elimu,Afya,Miundombinu,Uchumi,Michezo
na Mazingira pasipo kuongeza wala kupunguza neon.

Hata hivyo mkuu wa idara ya elimu kutoka
shirika la Under the SameSun Tanzania Josephat
Igembe amewashukuru waandishi wa habari walio amua
kujikita kuandika habari zinazo wahusu watoto wenye ulemavu waki angazia sekta ya Elimu,Afya,Michezo,Uchumi na Mazingira.

Baadhi ya waandishi wa habari walio shiriki semina hiyo wametoa maoni yao kuhusu maada zilizo wasilishwa,Omary Hussain kutoka Star Tv amesema ilikuleta usawa
katika jamii inabidi waandishi wahabari wajikite kuandika na kuripoti habari za watoto wenye ulemavu bila upendeleo, nae Ashura Kazinja kutoka Gazeti la Mtanzania ame washauri wandishi kuongeza ubunifu na umakini kwenye kazi zao za uwandishi wa habari.