Serikali katika wilaya ya KALIUA mkoani TABORA imewataka wazazi ambao bado
hawajawapeleka watoto kujiandikisha darasa la awali na la kwanza kuwapeleka
kabla hawajachukuliwa hatua za kisheria.

Akizungumza na Tkt Radio Ofisini kwake mkurugenzi mtendaji wa halmashauri
ya wilaya ya KALIUA, Daktari JOHN PIMA amesema makadilio ya halmashauri kwa
mwaka 2020 ni kuandikisha watoto 13,620 wa darasa la awali na watoto 17,887 wa
darasa la kwanza huku akibainisha hali ya uandikishaji mpaka sasa kiwilaya.

Aidha Daktari PIMA amesema kupitia kikao cha kamati ya elimu,
afya na maji kimewataka watumishi wa umma kusimamia suala la uandikishaji wa
watoto kwenye maeneo yao.

Kwa upande wake BETHOD
MAHENGE tarafa ya KASHISHI ameseam wamejipanga kuahakikisha kila mtoto
anaandikishwa darasa husikakwani nihaki ya kila mtoto kupata elimu, na kwa
upande wa wazazi ambao hawata tii agizo hilo watakuwa wamekiuka makubaliano.

Hata hivyo wakili DANIEL SALAMBA amewataka wazazi kutii sheria bila shuruti
kwa kuwapeleka watoto shule ilisiku ikifika ilio wekwa ya kuandikisha watoto
kila mmoja awe amemuandikisha mwanae,kwani vifungu vya sheria vinavyo husu
elimu vitaamua vyenyewe kwa mzazi na mtoto mwenye ikiwa kuna uzembe ulio fanywa
kati yao.

Nao baadhi ya wazazi wameiomba serikali kuendelea kutoa elimu ya umuhimi wa
mtoto kwenda shule hasa katika maeneo ya jamii za wafugaji.

Simon Jumanne -KALIUA.