Uhaba
wa damu katika benki ya damu salama mkoani Kagera, yatajwa kuchangia vifo vya
Mama na mtoto kutokana na kupoteza damu nyingi wakati wa kujifungua.

Hayo
yameelezwa na Mratibu wa Huduma ya Mama na Mtoto mkoani Kagera, Neema Kyamba
wakati akizungumza na Tanzania Kids Time/UN Radio huku akibainisha kwamba uhitaji
wa damu salama kwa wajawazito ni mkubwa hasa wanaojifungua kwa njia ya
Upasuaji.

“jamii
ijitokeze kuchangia damu salama maana uwezo wetu bado ni mdogo, pia jamii
izingatie dalili za hatari kwa wajawazito na kuondokana na imani potofu ili
kuokoa maisha ya mama na mtoto wakati wa kujifungua” amesema.

Kaimu
Mganga Kuu wa Mkoa wa Kagera Dr, Kiwia Hassan amedai kuwa, kwa miaka mitatu
mfululizo mkoa huo haujafikia lengo la ukusanyaji wa damu salama kwa asilimia 100 ambapo ukusanya huo hufikia
asilimia 50 hadi asilimia 60 kwa Mwaka.

“mwaka
2017 tumekusanya unit 9500, mwaka 2018 tumekusanya unit 13,500 na mwaka jana
unit 16,000 sasa ili kuendelea ili tupate damu ya kutosha tunaimarisha zile
timu za ukusanyaji wa damu salama katika ngazi ya wilaya, vituo na mkoa” amesema.

Mratibu
Kiongozi wa timu ya Ukusanyaji damu
salama mkoani Kagera Amos Bashweka amesema kuwa, asilimia kubwa ya wananchi wanashindwa
kujitokeza kuchangia damu kwa sababu ya woga huku Taasisi mbalimbali za Elimu, Dini na Kijeshi ndizo hujitoa
kuchangia damu.

Aidha
Bashweka amewataka wananchi kuondoa woga na kujitokeza kuchangia damu, kwani
wapo wahanga wengi wa ajali, watoto chini ya miaka mitano, na magonjwa mengine
yanayohitaji damu Salama hivyo ni muhimu
Damu kupatikana wakati wote katika vituo vya afya.

Na; Rosemary Eliasi- Kagera