Tumezungumza na mratibu wa kituo
cha Ualimu kilichopo Wilaya ya Sengerema Mkoani Mwanza Mwl. ROBERT MASATU na BI,SARAH
MWAGA yeye ni mkurugenzi wa shirika la AFNET mkoani Dodoma.

Jamii imetakiwa
kutoa kipaumbele kwa
wanafunzi wenye ulemavu ili kuondokana na dhana potofu kuwa hawawezi kufanya vizuri katika
masomo.

Hayo yamebainishwa leo na mratibu wa kituo cha walimu kilichopo
Wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza
(TRC) Mwalimu ROBERT MASATU na kusema kuwa jamii inatakiwa kuwa mstari wa mbele katika
kuwashauri wanafunzi wenye ulemavu
kujiunga na masomo ya ufundi pale
wanaposhindwa kufaulu mitihani ya kidato cha nne hali
itakayowajengea uwezo katika maisha yao na kuwawezesha kujikwamua kiuchumi.

Aidha mratibu huyo ameiomba jamii
kuwathamini watu wenye ulemavu
bila kujali aina ya ulemavu kwani
hata wao ni binadamu kama wengine
na pia wanahaki ya kuishi kama watu wengine.

Sanjari
na hayo mwalimu MASATU amewataka wazazi kutowaficha ndani watoto wenye ulemavu na badala yake wawapeleke
shule kwa manufaa yao ya badaye.

JE HALI HII IKOJE KWA UPANDE WA MKOA WA
DODOMA?
DODOMA?
Kwaupande wake mkurugenzi wa shirika la AFNET mkoa wa Dodoma Bi,Sarah Mwaga amebainisha hali ilivyo
kwa watoto wenye ulemavu mbalimbali wakiwemo watu wenye Ualbino kwa mkoa huo,
kwa baadhi ya wazazi waamekuwa wakiwaficha watoto wao wenye ulemavu jambo
ambalo sio zuri.

Hata hivyo Bi, Mwaga amebainisha kwamba bado kunauhitaji mkubwa wa kuendlea
kutoa elimu kwa jamii,hususani wazazi na walezi ambao wana tabia ya kuwaficha
ndani wakidhani kwamba kuwa na motto mwenye ulemavu ni mkosi kwa familia jambo
ambalo sikweli, kwani kila mtu anahaki ya kuishi,kusoma,kutoamaoni,kuongoza nk.

Na.deborah.