Shirika la
Haki Elimu Tanzania linalo jishughulisha na utafiti wa usawa na ubora wa elimu
nchi limetoa riport yake inayo lenga
mikoa inayo fanya vizuri na isio fanya vizuri katika mitihani ya darasa la
saba,kupitia kwa mkurugenzi wake mkuu John
Kalaghe amezitaja sababu hizo nipamoja na.

1.Nafasi hafifu
ya wazazi na walezi kuwahamasisha watoto kufanya vizuri katika Masomo na
Mitihani yao ya mwisho,2.Umbali mrefu kutoka nyumbani kwenda shuleni na kutoka
shuleni kwenda makao mkuu ya wilaya,3.Utofauti wa kimuundombinu/mazingira kutoka
mkoa mmoja kwenda mwingine,4.Changamoto zilizopo katika maswala ya
kimenejimenti na kukosekana kwa hamasa ya na mbinu za ziada katika ufundishaji
na ujifunzaji.

Htahivyo Kalaghe
amebainisha kwamba ipo mikoa inayo endelea kufanya vibaya kila wakati
katika kipindi cha miaka mitanoiliopita nipamoja na
Singida,Dodoma,Mtwara,Mara,Tanga,Kigoma,Tabora na Manyara.