Shirika lisilo la kiserika la The Same Qualities Foundation lenye makao makuu yake jijini Arusha,
linatoa huduma za Kidaktari kwa kusaidia
kwenye matukio ya dharura na watoto wenye ulemavu wa kuzaliwa nao kamavile Midomo Sungura, Vichwa Maji na Magonjwa mengine katika maeneo mbalimbali hapa
nchini kwa kuwafanyia upasuaji bure pasipo malipo yeyote, ilikurejesha furaha,usawa
na kuzuia ubaguzi kwa walio na ulemavu huo kwenye jamii.

Aidha
akizungumza na Tanzania Kids Time
kwa njia ya simu mkurungenzi wa Shirika hilo Dr. Peter Mabula ambae ni Daktari bingwa wa magonjwa ya dharura na
ajali (Emergency Physician) amesema timu ya Madaktari bingwa kutoka kwenye
shirika hilo watatoa huduma ya upasuaji kwa watoto walio na ulemavu wa Mdomo Sungura,ambapo zoezi hilo
litafanyika December 16-20 mwaka huu katika Hospitali ya Wilaya ya Kahama Mkoani
Shinyanga na upasuaji huo utakuwa ni bure kabisa.

Hatahivyo
Dr.Mabula amebainisha kwamba Mpaka sasa wameshasaidia (upasuaji) kwa zaidi
ya Watoto 500 kwa miaka mitano iliyopita,kwanishabaha yao nikuisaidia jamii katika
familia zilizo na Watoto wenye ulemavu huo ili kuwarejeshea furaha katika
familia hizo, mkurungezi huyo akatumia nafasi hiyo kuwa asa wazazi na walezi
walio na watoto wenye ulemavu huo kuwafikisha kwenye ofisi zao ilikupangiwa
tarehe ya kufanyiwa upasuaji kwani hakuna gharama yeyote atakayo lipa Mzazi au Mlezi
kuhusu huduma hiyo.