By using this site, you agree to the Privacy Policy and Terms of Use.
Accept
Tanzania Kids Time
  • Home
  • Afya
  • Elimu
  • Haki Za Watoto
  • Mazingira
  • Uchambuzi na Takwimu
  • Wasiliana Nasi
Reading: Watoto milioni150 wanaripoti kuwahi kunyanyaswa na wenzao shuleni note duniani.
Share
Notification Show More
Latest News
Mapendekezo ya Mradi wa Sauti zetu ni Muhimu kwa Mkakati wa Elimu Jumuishi
Elimu Haki Za Watoto
Mafanikio ya Shirika la SAWA Kuwezesha Wazazi Kuziishi Stadi za Maisha na Maadili
Elimu
Sababu ya Mradi wa ALiVE Kufanikiwa Kutengeneza Vinara Zaidi ya 300 Tanzania
Elimu Haki Za Watoto
KONGANI YA ELIMU YA MTANDAO WA ELIMU WA KIKANDA – RELI AFRIKA YAONGOZA MAADHIMISHO YA SIKU YA WALIMU DUNIANI.
Elimu
TANZANIA WILL HOST CIGOFA4 TO FIND CONCRETE SOLUTIONS FOR YOUTH LAND QUESTIONS
Editor's Pick
Aa
Aa
Tanzania Kids Time
  • Afya
  • Elimu
  • Haki Za Watoto
  • Home
  • Afya
  • Elimu
  • Haki Za Watoto
  • Uchambuzi na Takwimu
  • Mazingira na Mabadiliko ya Tabianchi
  • Contact
Follow US
  • Advertise
© 2022 Foxiz News Network. Ruby Design Company. All Rights Reserved.
Tanzania Kids Time > Blog > Uncategorized > Watoto milioni150 wanaripoti kuwahi kunyanyaswa na wenzao shuleni note duniani.
Uncategorized

Watoto milioni150 wanaripoti kuwahi kunyanyaswa na wenzao shuleni note duniani.

Tanzania Kids Time
Last updated: 2024/01/04 at 8:17 AM
By Tanzania Kids Time 2 Min Read
Share
SHARE
Ripoti mpya iliyotolewa leo na Shirika la Umoja wa mataifa la kuhudumia watoto UNICEF, inasema nusu ya wanafunzi wenye umri wa kati ya miaka 13 hadi 15 duniani kote -sawa na watoto milioni 150 – wanaripoti kuwahi kunyanyaswa na wenzao shuleni.
Ripoti hiyo iliyopewa jina, Somo la Kila siku: #KomeshaUkatili katika Shule inasema kuwa unyanyasaji wa rika unaopimwa kwa idadi ya watoto wanaoripoti kunyanyaswa mwezi uliopita au wamehusika katika ugomvi mwaka jana ni sehemu ya matukio katika maeneo ya masomo duniani kote na inaathiri elimu na maisha katika nchi tajiri na hata zile maskini.
“Elimu ni ufunguo wa kujenga jamii za amani, na bado, kwa mamilioni ya watoto duniani kote, shule si salama,” amesema Mkurugenzi Mkuu wa UNICEF Henrietta Fore. Akiongeza kuwa “Kila siku, wanafunzi wanakabiliwa na hatari nyingi, ikiwa ni pamoja na mapigano, shinikizo la kujiunga na makundi, unyanyasaji  wa ana kwa ana  na pia mtandaoni, unyanyasaji wa kijinsia na vurugu za kutumia silaha.”
Kwa muda mfupi hii inaathiri mafunzo yao, na kwa muda mrefu hii inaweza kusababisha msongo wa mawazo, wasiwasi na hata kujiua. Vurugu ni somo la kukumbukwa ambalo hakuna mtoto anayestahili kujifunza.”
Ripoti hiyo inaelezea njia mbalimbali ambazo wanafunzi za kuwanyanyasa wanafunzi hao ikiwemo darasani:
Kote duniani, zaidi ya mwanafunzi mmoja kati ya watatu wenye umri wa miaka 13 hadi 15 wamewahi kunyanyaswa , na kiasi kama hicho pia kuumizwa kimwili. Taarifa hii nikwamjibu wa radio washirika UN radio.

You Might Also Like

ENERGY AND NEO-COLONIALISM IN AFRICA, NO ANSWERS?

WAHITIMU WATAKAO JIUNGA DARASA LA KWANZA MWAKA 2023

ATHARI ZA NDOA ZA UTOTONI KIUCHUMI

SIKU YA WATOTO WALIOZALIWA KABLA YA KUKOMAA

ATHARI ZA NDOA ZA UTOTONI KIELIMU

Tanzania Kids Time September 7, 2018
Share this Article
Facebook Twitter Email Print
Previous Article Mawazo ya watoto nimuhimu kuzingatiwa.
Next Article Mwanafunzi mlemavu akabidhiwa kitimwendo baada ya kutaabika kwamuda mlefu.
Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

Facebook Like
Twitter Follow
Youtube Subscribe
Telegram Follow
- Advertisement -
Ad image

Latest News

Mapendekezo ya Mradi wa Sauti zetu ni Muhimu kwa Mkakati wa Elimu Jumuishi
Elimu Haki Za Watoto
Mafanikio ya Shirika la SAWA Kuwezesha Wazazi Kuziishi Stadi za Maisha na Maadili
Elimu
Sababu ya Mradi wa ALiVE Kufanikiwa Kutengeneza Vinara Zaidi ya 300 Tanzania
Elimu Haki Za Watoto
KONGANI YA ELIMU YA MTANDAO WA ELIMU WA KIKANDA – RELI AFRIKA YAONGOZA MAADHIMISHO YA SIKU YA WALIMU DUNIANI.
Elimu
//

Tanzania Kids Time: A platform spotlighting children’s and women’s issues in Tanzania, focusing on education, health, and environmental conservation.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

© 2023 Tanzania Kids Time. Powered by Digital Media Innovation Program. All Rights Reserved.

Join Us!

Subscribe to our newsletter and never miss our latest news, podcasts etc..

Zero spam, Unsubscribe at any time.

Removed from reading list

Undo
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?