By using this site, you agree to the Privacy Policy and Terms of Use.
Accept
Tanzania Kids Time
  • Home
  • Afya
  • Elimu
  • Haki Za Watoto
  • Mazingira
  • Uchambuzi na Takwimu
  • Wasiliana Nasi
Reading: mtoto mkimbizi aonyesha hisiazake baada ya kulejea darasani tena.
Share
Notification Show More
Latest News
Mapendekezo ya Mradi wa Sauti zetu ni Muhimu kwa Mkakati wa Elimu Jumuishi
Elimu Haki Za Watoto
Mafanikio ya Shirika la SAWA Kuwezesha Wazazi Kuziishi Stadi za Maisha na Maadili
Elimu
Sababu ya Mradi wa ALiVE Kufanikiwa Kutengeneza Vinara Zaidi ya 300 Tanzania
Elimu Haki Za Watoto
KONGANI YA ELIMU YA MTANDAO WA ELIMU WA KIKANDA – RELI AFRIKA YAONGOZA MAADHIMISHO YA SIKU YA WALIMU DUNIANI.
Elimu
TANZANIA WILL HOST CIGOFA4 TO FIND CONCRETE SOLUTIONS FOR YOUTH LAND QUESTIONS
Editor's Pick
Aa
Aa
Tanzania Kids Time
  • Afya
  • Elimu
  • Haki Za Watoto
  • Home
  • Afya
  • Elimu
  • Haki Za Watoto
  • Uchambuzi na Takwimu
  • Mazingira na Mabadiliko ya Tabianchi
  • Contact
Follow US
  • Advertise
© 2022 Foxiz News Network. Ruby Design Company. All Rights Reserved.
Tanzania Kids Time > Blog > Uncategorized > mtoto mkimbizi aonyesha hisiazake baada ya kulejea darasani tena.
Uncategorized

mtoto mkimbizi aonyesha hisiazake baada ya kulejea darasani tena.

Tanzania Kids Time
Last updated: 2024/01/04 at 8:17 AM
By Tanzania Kids Time 2 Min Read
Share
SHARE

Mahema hayo  yaliyosimikwa kwenye kambi ya Mabrouka iliyoko katikati
mwa  jangwa huko kaskazini-mashariki mwa Syria yanafuatia msaada wa
kibinadamu kutoka shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto,
UNICEF kwa ushirikiano na wadau wake.
Wavuti maalum unaochapisha habari za watoto wa Syria umemnukuu
Joumana ambaye ni mmoja wa watoto walioshindwa kupata elimu ipasavyo
kutokana na hamahama na ukosefu wa maeneo ya kujifunzia tangu  mwaka
2012 walipokimbia kijiji chao.
“Kwa miaka kadhaa kipaumbele chetu kimekuwa ni kuishi,” amesema
Joumana ambaye kabla ya kujengewa mahema matano ya shule walilazimika
kutumia hema moja tu ambalo halikuwa rafiki kwa kujifunzia.
Elimu inayotolewa kupitia mahema haya matano, ni ya kumwezesha mtoto
kujifunza mwenyewe ikilenga zaidi watoto waliokosa masomo kwa muda mrefu
kama vile Joumana.
UNICEF inasema wafanyakazi wa kujitolea wanashirikiana na watoto hawa
ambapo hadi sasa watoto 3,000 kwenye kambi ya Mabrouka wamenufaika.
Joumana anasema, “sikuamini kabisa mwanzoni, wala sikuweza kupata picha mimi niko darasani.”
Tayari Joumana alifanya mtihani wa awali na kupangiwa kujiungana
darasa la 6 akisema kuwa “shule haitufundishi tu masomo bali pia tabia
na mbinu za mawasiliano na kujenga upya jamii zetu.”
Vita vya wenyewe kwa wenyewe vilianza nchini Syria mwezi Machi mwaka
2011 na hadi sasa hakuna mwelekeo wowote wa kumalizika huku watoto
wakisalia kuwa wakimbizi wa ndani na nje ya nchi yao,Taarifa hii nikwa mjibu radio washirika UN radio kwa maelezo zaidi tembelea https://news.un.org/sw

You Might Also Like

ENERGY AND NEO-COLONIALISM IN AFRICA, NO ANSWERS?

WAHITIMU WATAKAO JIUNGA DARASA LA KWANZA MWAKA 2023

ATHARI ZA NDOA ZA UTOTONI KIUCHUMI

SIKU YA WATOTO WALIOZALIWA KABLA YA KUKOMAA

ATHARI ZA NDOA ZA UTOTONI KIELIMU

Tanzania Kids Time August 7, 2018
Share this Article
Facebook Twitter Email Print
Previous Article UNICEF TANZANIA imesema nimuhimu kumnyonyesha mtoto saa ya kwanza baada ya kuzaliwa.
Next Article furaha ya mwanafunzi ni kusomea akiwa ndani ya darasa.
Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

Facebook Like
Twitter Follow
Youtube Subscribe
Telegram Follow
- Advertisement -
Ad image

Latest News

Mapendekezo ya Mradi wa Sauti zetu ni Muhimu kwa Mkakati wa Elimu Jumuishi
Elimu Haki Za Watoto
Mafanikio ya Shirika la SAWA Kuwezesha Wazazi Kuziishi Stadi za Maisha na Maadili
Elimu
Sababu ya Mradi wa ALiVE Kufanikiwa Kutengeneza Vinara Zaidi ya 300 Tanzania
Elimu Haki Za Watoto
KONGANI YA ELIMU YA MTANDAO WA ELIMU WA KIKANDA – RELI AFRIKA YAONGOZA MAADHIMISHO YA SIKU YA WALIMU DUNIANI.
Elimu
//

Tanzania Kids Time: A platform spotlighting children’s and women’s issues in Tanzania, focusing on education, health, and environmental conservation.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

© 2023 Tanzania Kids Time. Powered by Digital Media Innovation Program. All Rights Reserved.

Join Us!

Subscribe to our newsletter and never miss our latest news, podcasts etc..

Zero spam, Unsubscribe at any time.

Removed from reading list

Undo
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?