By using this site, you agree to the Privacy Policy and Terms of Use.
Accept
Tanzania Kids Time
  • Home
  • Afya
  • Elimu
  • Haki Za Watoto
  • Mazingira
  • Uchambuzi na Takwimu
  • Wasiliana Nasi
Reading: Idadi ya unyonyeshaji maziwa ya mwanzo mkoani morogoro bado nichangamoto.
Share
Notification Show More
Latest News
Mapendekezo ya Mradi wa Sauti zetu ni Muhimu kwa Mkakati wa Elimu Jumuishi
Elimu Haki Za Watoto
Mafanikio ya Shirika la SAWA Kuwezesha Wazazi Kuziishi Stadi za Maisha na Maadili
Elimu
Sababu ya Mradi wa ALiVE Kufanikiwa Kutengeneza Vinara Zaidi ya 300 Tanzania
Elimu Haki Za Watoto
KONGANI YA ELIMU YA MTANDAO WA ELIMU WA KIKANDA – RELI AFRIKA YAONGOZA MAADHIMISHO YA SIKU YA WALIMU DUNIANI.
Elimu
TANZANIA WILL HOST CIGOFA4 TO FIND CONCRETE SOLUTIONS FOR YOUTH LAND QUESTIONS
Editor's Pick
Aa
Aa
Tanzania Kids Time
  • Afya
  • Elimu
  • Haki Za Watoto
  • Home
  • Afya
  • Elimu
  • Haki Za Watoto
  • Uchambuzi na Takwimu
  • Mazingira na Mabadiliko ya Tabianchi
  • Contact
Follow US
  • Advertise
© 2022 Foxiz News Network. Ruby Design Company. All Rights Reserved.
Tanzania Kids Time > Blog > Uncategorized > Idadi ya unyonyeshaji maziwa ya mwanzo mkoani morogoro bado nichangamoto.
Uncategorized

Idadi ya unyonyeshaji maziwa ya mwanzo mkoani morogoro bado nichangamoto.

Tanzania Kids Time
Last updated: 2024/01/04 at 8:17 AM
By Tanzania Kids Time 1 Min Read
Share
SHARE

Wazazi mkoani Morogoro wametakikiwa
kuwanyonyesha watoto wao kuanzia miaka sifuri hadi miaka miwili ili 
kuwakinga na magonywa yatokanayo na lishe duni.
Akizungumza na Tanzaniakidstime Afisa Lishe wa kituo cha Afya cha sabasaba Mkoani
Morogoro ESTER KAWISHE amesema kuwa ,maziwa ya mama humkinga mtoto dhidi ya
magonjwa ukiwemo Utapiamlo, ikiwa maziwa hayo yanavirutubisho vyote ambavyo
mtoto huhitaji.
Pia Afisa Lishe ESTER, ametoa wito
kwa wazazi wa kiume kuwa karibu na kinamama kwa kuwasaidia kutekeleza
unyonyeshaji wa maziwa ya mama kwa mtoto.
Kwa upande wake mmoja wa akinamama
wanao nyonyesha mtoto Bi. CHRISTINA SEVELIN amesema    
kuwa, baadhi ya kinamama huanza kuwapa vyakula watoto  kabla ya wakati,
kwa kisingizio  cha kutotosheleza maziwa kwa mama mzazi.
Hata hivyo wakati ulimwengu
ukiadhimisha wiki ya kimataifa ya kunyonyesha mtoto na kuelezea faida zake kwa
wazazi na taifa, wakazi wa dunia wanahamashishwa kufahamu umuhimu wa maziwa ya
mwanzo kabisa ya mama kwa mtoto .
Takriban 40% tu ya watoto wachanga
wenye umri kati ya miezi 0 hadi 6 ndio wanaoishi kwa kunyonyeshwa pekee, kwamjibu
wa shirika la Afya duniani WHO.

You Might Also Like

ENERGY AND NEO-COLONIALISM IN AFRICA, NO ANSWERS?

WAHITIMU WATAKAO JIUNGA DARASA LA KWANZA MWAKA 2023

ATHARI ZA NDOA ZA UTOTONI KIUCHUMI

SIKU YA WATOTO WALIOZALIWA KABLA YA KUKOMAA

ATHARI ZA NDOA ZA UTOTONI KIELIMU

Tanzania Kids Time August 4, 2018
Share this Article
Facebook Twitter Email Print
Previous Article Maadhimisho ya wiki ya unyonyeshaji wa maziwa ya mtoto ambyo huanza 1-7 august ya kilamwaka.
Next Article UNICEF TANZANIA imesema nimuhimu kumnyonyesha mtoto saa ya kwanza baada ya kuzaliwa.
Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

Facebook Like
Twitter Follow
Youtube Subscribe
Telegram Follow
- Advertisement -
Ad image

Latest News

Mapendekezo ya Mradi wa Sauti zetu ni Muhimu kwa Mkakati wa Elimu Jumuishi
Elimu Haki Za Watoto
Mafanikio ya Shirika la SAWA Kuwezesha Wazazi Kuziishi Stadi za Maisha na Maadili
Elimu
Sababu ya Mradi wa ALiVE Kufanikiwa Kutengeneza Vinara Zaidi ya 300 Tanzania
Elimu Haki Za Watoto
KONGANI YA ELIMU YA MTANDAO WA ELIMU WA KIKANDA – RELI AFRIKA YAONGOZA MAADHIMISHO YA SIKU YA WALIMU DUNIANI.
Elimu
//

Tanzania Kids Time: A platform spotlighting children’s and women’s issues in Tanzania, focusing on education, health, and environmental conservation.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

© 2023 Tanzania Kids Time. Powered by Digital Media Innovation Program. All Rights Reserved.

Join Us!

Subscribe to our newsletter and never miss our latest news, podcasts etc..

Zero spam, Unsubscribe at any time.

Removed from reading list

Undo
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?