Ukatili wa kijinsia hususan kwa wanawake na watoto unaendelea kutoa changamoto kubwa nchini Tanzania.
Kwa
mujibu wa takwimu za wizaya ya afya , maendeleoya jamii , jinsia, wazee
na watoto ya nchini Tanzania mwaka 2017 pekee zaidi ya matukio 40,000
ya ukatili wa kijinsia yameripotiwa kama anavyofafanua Dr. Faustin
Ndungulie naibu waziri wa wizara hiyo

Ili kutimiza malengo ya maendeleo endelevu SDG’s husuan lengo namba 5
la usawa wa kijinsia ifikapo 2030, Umoja wa Mataifa unaendelea
kuzihimiza nchi wanachama kuchukua hatua kuhakikisha ukatili huo
unakomeshwa. Je Tanzania inachukua hatua gani
Kwa upande wa watoto ambao pia ni waathirika wakubwa wa ukatili huo ,Dr. Ndungulile ametoa rai
.