Leo ni siku ya kupinga matumizi ya
tumbaku duniani ambapo shirika la afya ulimwenguni, WHO linasema matumizi ya
tumbaku yamepungua.Kupitia ripoti yake iliyotolewa leo, WHO inasema matumizi
hayo yamepungua kutoka asilimia 27 mwaka 2000 hadi asilimia 20 mwaka 2015.

Mathalani idadi ya wanaume wenye
umri wa miaka 15 wanaotumia tumbaku imepungua kutoka asilimia 43 mwaka 2000
hadi asilimia 34 mwaka 2015.Halikadhalika kwa wanawake ni kutoka asilimia 11
mwaka 2000 hadi asilimia 6 mwaka 2015.

Hata hivyo WHO inasema kupungua huko
hakutoshelezi kufikia lengo linalotakiwa la kuepusha watumiaji wa tumbaku
kupata magonjwa ya moyo na magonjwa mengine ya kuambukiza.WHO inasema bado kuna
tishio kwa kuwa watu wengi hawafahamu uhusiano kati ya kuvuta tumbaku na
magonjwa ya moyo.

Mfano nchini China, utafiti
uliofanyika umebaini kuwa asilimia 60 ya idadi ya watu nchini humo hawafahamu
iwapo matumizi ya tumbaku husababisha magonjwa ya moyo.

Ofisi ya China ya WHO
Uwanja wa michezo wa taifa China
mjini Beijing ulimulikwa na mwangaza wenye ujumbe:Beijing isio na Tumbaku

Mkurugenzi wa WHO anayehusika na
magonjwa yasiyo ya kuambukiza, NCDs Dkt Douglas Bettcher, anafafanua..

“Kuna vyote – tisho na matumaini. Ili kuona
matumaini, inafaa kuweka masharti. Wakati tukichambua ripoti hii tunakiri
kuwa vifaa vinavyoitwa ‘N’, vinasumu ndogo kuliko bidhaa za tumbaku
asilia .Hatuwezi kuhakikisha kama ni chombo muafaka kwa kuacha kabisa. Na
pia tunaogopa kuwa watoto wana weza wakashawishika na kuanza kutumia vyote
viwili.”

Hata hivyo amesema
“Kiwango cha athari za afya ya binadamu
itokanayo na matumizi ya tumbaku kinatisha. . Lakini habari njema ni kuwa vifo
vingi vinavyotokana na matumizi yatumbaku vinazuilika na tunaelewa fika
kipi cha kufanya.”Zaidi ya
watu milioni 17.9 hufariki dunia kila mwaka kutokana na matumizi ya tumbaku,Taarifa hii ni kwamjibu wa UN
radio