Madereva wa vyombo vya moto Mkoa wa
Morogoro wametakiwa kuwa makini kwa kutii sheria pindi wanapo endesha vyombo
hivyo ili kuepuka ajali za barabarani.

Akizungumzia changamoto hiyo Ofisa wa kitengo cha elimu kutoka Jeshi la
Polisi mkoani Morogoro kopro BATHROMEO NYAMBARI amesema kuwa, ajali nyingi
zinazotokea hutokana na madereva kuwa wazembe na baadhi yao kukosa elimu ya
usalama barabarani.

Aidha
KOPRO NYAMBARI ameongeza kuwa, bado wanaendelea kutoa elimu mbalimbali
kuhusu usalama barabarani kupitia vyombo vya habari, semina kwa madereva hao na
shuleni ili wanafunzi watambue namna ya kujiepusha na kujikinga na ajali hizo.

Hata hivyo KOPRO NYAMBARI amewataka
Madereva wote nchini, kuwa makini pindi wanapo endesha vyombo vya moto ili
kuepusha ajali zisizo za lazima.