NI MARUFUKU KUTOA CHANJO YA SARATANI YA MLANGO WA
KIZAZI KWA WATOTO WA MIAKA 14 BILA RIDHAA ZA WAZAZI “Naomba kutoa rai
nikiwa hapa Tanga , mtoto achanjwe pale ambapo mzazi wake akiwa ameridhia.
Msimchanje mtoto bila ridhaa. Hili ni agizo kwa nchi nzima” Hayo yamezungumzwa na waziri wa afya Mhe. UMMY MWALIMU akiwa jijini Tanga.