Wakati idadi
ya watu wanaokimbia eneo linalozungumza kiingereza nchini Cameroon na kuingia
Nigeria ikiongezeka, Shirika la Umoja wa Mataifa la luhudumia wakimbizi UNHCR
linasema hofu yake inaongezeka kufuatia madhila yanayowakabili wanawake na
watoto.

Shirika hilo limesema wanawake
na watoto ni asilimia 80 ya takribani wakimbizi 10,000 walioorodheshwa
Mashariki mwa Nigeria kwenye jimbo la Cross River, huku maelfu ya wakimbizi
wengine wa Cameroon katika majimbo mengine bado hawajaandikishwa.

HatahivyoUNHCR inashirikiana na
serikali ya Nigeria kusaidia kuwaunganisha watoto waliotengana na familia zao,
kuwapa ulinzi, na kuhakikisha wanapata huduma muhimu. Pia waangalia eneo la
kujenga kambi nyingine ambako wakimbizi watahifadhiwa kulingana na viwango vya
kimataifa. Taarifa hii nikwamjibu wa UN RADIO.