40% ya vifo hivi vinaweza kuzuiwa kupitia njia rahisi za afya kupitia vituo vya afya vya umma na visivyo vya umma ambavyo hutoa huduma nafuu kama sehemu ya wajibu wao kwa jamii. Hii haina gharama kubwa ya kuokoa maisha ya watoto, Lakini matokeo mazuri ni ya thamani sana kwenye mpango huu wa kuokoa mama na mtoto UNICEF Kenya imesema.