Shirika la Afya Duniani (who) limesema kua, Mtoto Mmoja kati ya watoto wawili ulimwenguni kote inaonyesha ana mateso ya kimwili, kijinsia na kihisia huu niutafiti ulio fanywa na shirika hilo kwamwaka uliopita.
Vurugu dhidi ya watoto nilazima iachwe sasa baina ya wazazi au walezi wanao wahudumia kwenye familia.