Kuhusu Tanzania Kids Time

Main About Image

Ni kituo cha kuandaa maudhui ya vipindi vya Redio na Runinga kinachotambuliwa na Serikali chenye usajili namba MG/MMC/CBO/02523. Kituo hiki ni cha waandishi wa Habari waliojikita kuandika Habari za Watoto,Vijana na Wanawake katika Nyanja tofauti tofauti ili kusongesha malengo kumi na saba ya kudumu ya Umoja wa Mataifa SDGs.

TANZANIA KIDS TIME: Inamakubaliano ya kufanya kazi kwa pamoja na Shirikia la utangazaji la Umoja wa Mataifa kitengo cha Kiswahili UN NEWS KISWAHILI katika kuandaa Makala, Vipindi vinavyo wahusu Watoto,Vijana na Wanawake na kupeperushwa kupitia Redio, Runinga na Habari hizo kuchapishwa kwenye tovuti za https://www.tanzaniakidstime.org/ na https://news.un.org/sw/ .

Makala, Vipindi na Habari zote zinazoripotiwa na Tanzania Kids Time kwenda UN NEWS KISWAHILI zinasikika kupitia Redio washirika wa UN NEWS KISWAHILI zaidi ya 150 Ulimwenguni kote ilhali Afrika ya Mashariki ikiwa inaongoza kuwa na Redio washirika wengi Zaidi 50 zinazorusha Jarida la Umoja wa mataifa kila siku kuanzia Jumatatu\-Ijumaa kila wiki.

Our Team

John E. Kabambala
Founder / CEO

Children’s Journalist
Mobile: +255621475301

Hamad Rashid Hassan
Staff

Journalist And Multmedia Proffesional
Mobile: +255656460901

Sure Ndereka
Staff

Journalist &amp\\\; Chief Editor
Mobile: +255768234788

Devotha Songorwa
Staff

Jounalist And Voice Over
Mobile: +255717826210

Subscribe to our Newsletter

Get latest updates of our stories, News and other updates from TKT direct to your email.