Blog > posts

ATHARI ZA NDOA ZA UTOTONI KIUCHUMI

Ndoa za utotoni ni ndoa ambayo mmoja au wote wawili wana umri wa chini ya miaka 18, jambo hali linatajwa kua ni ukiukwaji wa haki za binadamu za watoto. Licha ya kupigwa marufuku na sheria, matamko na mikataba ya kimataifa, inaendelea kuwaibia mamilioni ya watoto chini ya umri wa miaka 18, hasa wasichana, dun.. read more

SIKU YA WATOTO WALIOZALIWA KABLA YA KUKOMAA

“Pamoja na kazi yangu ya uuguzi ya kuwahudumia wazazi wengine wenye watoto ambao walizaliwa kabla hawajakomaa, mimi pia nimejifungua watoto wa aina hiyo. Na kiukweli niliogopa kwa kiasi kikubwa kuona hali ile ambayo nilizoea kuiona kwa wazazi wengine tu, lakini mume wangu na mama yangu mzazi alinitia .. read more

ATHARI ZA NDOA ZA UTOTONI KIELIMU

Sauti za wananchi na wadau wa maendeleo husikika wakisema “miaka kumi na nane (18) nakuendelea ndio umri sahihi wa kuoa nakuolewa nchini Tanzania na si chini ya hapo” huku Sheria ya ndoa ikiruhusu wasichana wenye miaka 14 kuolewa kwa ruhusa maalum ya wazazi, na wasichana wenye umri kuanzia miaka 1.. read more

ATHARI ZA NDOA ZA UTOTONI KIAFYA

Sheria ya ndoa ya mwaka 1971 haiwalindi wasichana dhidi ya kuolewa, Sheria hii imekuwa ikipigiwa kelele ifanyiwe marekebisho kwa mda mrefu ingawa hadi sasa hakuna majibu sahihi kutoka kwa mamlaka husika. Sheria hii inaruhusu wasichana wenye miaka 14 kuolewa kwa (ruhusa maalum ya wazazi), inaruhusu wasichana w.. read more

KATIBA NA SHERIA YA TANZANIA VINAKINZANA JUU YA UMRI WA KUOLEWA

Ndoa za utotoni ni tatizo nchini Tanzania linalo sababisha wasichana kutotimiza ndoto zao hasa za kielimu. Ndoa hizi mara nyingi husababishwa na baadhi ya vifungu vya sheria ya ndoa, hali duni za kimaisha, mila na desturi potofu, ukeketaji na ukosefu wa elimu juu ya madhara ya ndoa za utotoni. Duniani kote i.. read more

MABADILIKO YA TABIANCHI NA AFYA YA WATOTO

Athari za mabadiliko ya tabia nchi yanayotokana na kuharibika kwa ozoni leya yamepelekea miale ya jua kupenya moja kwa moja kwenye ardhi na yameendelea kuonekana katika mikoa mbalimbali nchini Tanzania, miongoni mwa athari zinazo zaniwa kuchangiwa na mabadiliko hayo ni ongezeko la mama wajawazito kujifungua k.. read more

MAZUNGUMZO NA MABINTI WALIOJIFUNGUA NA KURUDI SHULENI

“Kubeba ujauzito mtoto wakike ukiwa bado mwanafunzi ilikuwa nikama kitendo cha aibu kwa familia, jamii na hata shule husika, mbaya Zaidi hata ukijifungua hapakuwa na ruhusa ya kurejea Shuleni kuendelea na masomo”. Huyo ni Profesa , nilipo zungumza nae kuhusu ruhusa ya wanafunzi wakike waliojifung.. read more

FAHAMU MAZINGIRA NA AFYA YA MTOTO AWAPO SHULENI

Ni wastani wa kilomita moja hivi, kutoka ilipo shule kongwe ya msingi inayotumia lugha ya kiingereza kufundishia (English Medium Primary School) katika Manispaa ya Morogoro hadi kufika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, yaani Ikulu ndogo ya nchi. Shule hii ipo pembezoni kabisa mwa mto Morogoro unaotiririsha m.. read more

TATIZO LA KUOZA MENO WATOTO

Pembezoni mwa safu za milima uluguru nikati ya mitaa yenye utulivu isio kuwa na kelele zaidi yakusikia sauti za ndege na wadudu, sio kwamba kuna ulinzi wa hali ya juu Zaidi kama ule wa “CHAMWINO AU MAGOGONI”, la hasha, hapa ni bong’ola mojawapo ya mtaa katika Manispaa ya Morogoro alipozaliwa.. read more

JINSI YA KUBORESHA MTAALA WA ELIMU YA AWALI

TATIZO NI NINI? Tatizo ni mtaala wa Elimu ya Awali kutokidhi mahitaji ya watoto ya kujengewa umahiri wa kujua kusoma, kuhesabu, kuandika, na kushindwa kushirikisha wananchi na walimu wa darasa la Awali ipasavyo wakati wa uandaaji na uboresjaji wa mtaala huo. Kwamujibu wa mtaala wa Elimu ya Awali unaones.. read more

ISSA IBRAHIM MGONJWA WA MWISHO WA POLIO TANZANIA

Polio ni nini: Kwa mujibu wa Wizara ya Afya nchini Tanzania inatoa ufafanuzi kuhusu mlipuko wa ugonjwa wa polio kuwa ni ugonjwa unaosababishwa na kirusi ambacho huambukizwa kutoka kwa mtu aliyeathirika kwenda kwa mwingine, kwa kula au kunywa kitu kilicho chafuliwa na kinyesi chenye virusi vya polio. Virusi vy.. read more

WANAWAKE WANAONYONYESHA WAAHIDI KUZINGATIA MLO WA MAKUNDI MATANO YA VYAKULA

Wanawake wanaonyonyesha watoto, wameahidi kuzingatia mlo wa makundi matano ya Chakula ili kujenga na kulinda Afya ya Mtoto aliye chini ya umri wa miaka Sita, katika ukuaji wa akili na Mwili wake. Hamad Rashid, alihudhuria sherehe za maadhimisho ya Wiki ya unyonyeshaji Mkoa wa Morogoro yaliyofanyika katika vi.. read more

VIJANA WAOMBA SOMO LA STADI ZA MAISHA KUFUNDISHWA SHULENI.

Katika juhudi za kuendelea kuunga Mkono lengo la namba Nne la umoja wa mataifa la kuboresha Elimu bora, nchini Tanzania baadhi ya vijana wameeleza kukosa maarifa ya Stadi za maisha ambayo wangeweza kufundishwa katika mtaala wa Elimu iwasaidie kujitambua na kupanua fikra zao, maarifa na kuwa wabunifu hata baad.. read more

KUWA NA MAAMBUKIZI YA VVU SIO SABABU YA KUTOKUWA NA MPENZI.

Suala la maambukizi ya virusi vya HIV vinavyo sababisha ugonjwa wa Ukimwi bado linawakosesha usingizi wataalamu wa afya ulimwenguni kote, Tangu ugonjwa wa Ukimwi ulipogunduliwa miaka ya 1980, kumekuwa na fikra mbalimbali kwa baadhi ya wanajamii kuhusu jinsi virusi vyake vinavyoweza kusambazwa, Je maisha ya wa.. read more

CHILD LABOUR IN TOBACCO GROWING AREAS: CASES IN TABORA, MBEYA AND SONGWE REGIONS IN TANZANIA

Tanzania has ratified all important international treaties on the prevention of child labour and has continued to implement programmes to withdraw children from such harsh circumstances. With the help of various stakeholders – such as non\-governmental organizations and civil society organizations &ndas.. read more

Sample Audio 2

Sample Audio 2.. read more

Sample Audio 1

Sample Audio 1.. read more

HATA SISI WATU WENYE ULEMAVU TUNAHAKI YA KUPATA ELIMU YA AFYA YA UZAZI

Morogoro. Wadau wanaotoa uangalizi kwa kundi la wasichana na wavulana balehe wenye ulemavu wamebainisha kwamba kundi hili muhimu katika jamii limekuwa likisahaulika linapokuja suala la kuwafikia vijana balehe ili kuwapatia elimu ya afya ya uzazi. .. read more

HISTORIA YA VAILETH BUKUKU MKAAZI WA MBEYA MJINI.

Hali ya maaambukizi ya virusi vya UKIMWI nchini Tanzania inaonesha watu wanaoishi na VVU hadi kufikia mwezi Disemba mwaka 2020 watu wazima wenye umri wa kuanzia miaka 15 na zazidi ni 1,600,000, Wanawake 1,000,000, Wanaume 600,000 na Watoto chini ya m.. read more

HALI ILIVYO JUU YA VITENDO VYA UKATILI DHIDI YA WATOTO WAKIKE MKOA WA MOROGORO.

Nchini Tanzania umri wa balehe ni kipindi kinachoambatana na hatari zaidi kwa wasichana, hasa kwa wale waishio katika mazingira magumu, jambo linaloonyesha umuhimu wa kuongeza na kuendeleza uimarishaji wa uelimishaji kuhusu usawa wa kijinsia, haki na.. read more

WANAFUNZI NA WALIMU WAELEZEA MANUFAA, KUKAMILIKA MRADI WA MADARASA YA UVIKO19

Chumba cha Darasa la Kidato cha kwanza B'' Sumaye Sekondari Manispaa ya Morogoro. Wanafunzi wa Shule za Sekondari Mkoa wa Morogoro nchini Tanzania wameeleza kunufaika na Mkopo wa riba nafuu Trilioni 1.3 ambao Tanzania iliupata mwaka 202.. read more

MIMBA ZA UTOTONI ZIMEONGEZEKA MKOA WA MOROGORO KUTOKA 800 HADI ZAIDI YA 1200

Pichani ni Afisa Ustawi wa Jamii Mkoa wa Morogoro Bi, Jissica KagunilaMatukio ya Mimba za utotoni yaliyoripotiwa Ofisi ya Afisa ustawi wa Jamii Mkoa wa Morogoro, yaliongezeka kutoka 800 mwaka 2019/2020 hadi kufikia zaidi ya 1200 Mwaka 2020/2021. Ak.. read more

MAHAKAMA YAWAFIKIA WANANCHI ZAIDI YA 30,000 KUWAPA ELIMU YA SHERIA NDANI YA SIKU 7, MOROGORO

Mahakama kuu Kanda ya Morogoro imewafikiwa wananchi zaidi ya Elfu Therathini kuwapatia Elimu na ushauri wa kisheria sambamba na kujibu changamoto zao mbalimbali za kisheria ndani ya siku saba za maadhimisho ya wiki ya Sheria. Mafanikio hayo ya Mahak.. read more

JAMII IMEKUMBUSHWA KUWAJALI WANAWAKE WAJANE NA KUWAPA MSAADA WANAPOHITAJI

Jamii imekumbushwa kuona umuhimu wa kuwajali wanawake wajane ambao mara kadhaa wamekua wakikosa msaada katika familia zao baada ya kufiwa na waume wao ili na wao waishi maisha ya furaha sawa na wengine. Mwishoni mwa Mwaka 2021 Mwezi Disemba Tanzania.. read more

MAHAKAMA YAAHIDI KUMUWEKEA ULINZI MTOTO ILI KUPUNGUZA UKATILI DHIDI YAO

Pichani ya Jaji Mfawidhi wa Mahakama kuu Kanda ya Morogoro Paul Joel Ngwembe akiwa Meza kuu.Mahakama kuu kanda mpya ya Morogoro imeweka mikakati ya kumlinda mtoto, kwa kutoa Elimu ya ulinzi wa mtoto kwa wananchi ili kupunguza matukio ya ukatili dhid.. read more

WANAWAKE WAKUMBUSHWA KUSHIRIKI KIKAMILIFU MALEZI YA WATOTO

Tarehe 11/12/2021 yalifanyika Mahafali ya kuwaaga wanafunzi 45 wahitimu wa Elimu ya awali katika kituo cha kulelea watoto mchana Mery Children day care, mafahali yaliyofanyika katika ukumbi wa Washington Pub uliopo Kata ya Sabasaba Manispaa ya Morogo.. read more

SHINE UP DAY CARE CENTER YATAJWA KUWA MKOMBOZI KWA WATOTO KUPATA ELIMU NA MALEZI BORA

Shine Up Day Care Center ni kati ya kituo cha kulelea watoto mchana kilichopo mtaa wa mkwajuni kata ya Mindu ndani ya Manispaa ya Morogoro, kituo hiki kilianzishwa mwaka 2020, na Mwaka 2021 kimetimiza miaka miwili na kufanya Mahafali yake ya pili tan.. read more

WAZAZI WAHIMIZWA KUWAPELEKA WATOTO WAO KITUO CHA VALENTINE DAY CARE CENTER KILICHOPO MAZIMBU

Akizungumza katika Mahafali ya pili ya Kituo cha kulelea watoto mchana yaliyofanyika katika kituo hicho kilichopo Mtaa wa Reli Kata ya Mazimbu, Mgeni Rasmi wa hafla hiyo Mwenyekiti wa Mtaa wa Reli Henry Sebastian Mapunda alisema, wazazi na walezi ni .. read more

VIPAJI VYA WANAFUNZI WA SUN SHINE DAY CARE VYAWAKOSHA WAGENI WAALIKWA KATIKA MAHAFALI YA KUHITIMU CHEKECHEA

Siku ya tarehe 04/12/2021 yalifanyika Mahafali ya wanafunzi wanane waliohitimu Elimu ya Kindagate katika kituo cha kulelea watoto mchana Sun shine kilichopo eneo la Nanenane Manispaa ya Morogoro, ambapo wahitimu walionesha uwezo mkubwa kutumia vipaji.. read more

Subscribe to our Newsletter

Get latest updates of our stories, News and other updates from TKT direct to your email.