WANAWAKE WANAONYONYESHA WAAHIDI KUZINGATIA MLO WA MAKUNDI MATANO YA VYAKULA
Wanawake wanaonyonyesha watoto, wameahidi kuzingatia mlo wa makundi matano ya Chakula ili kujenga na kulinda Afya ya Mtoto aliye chini ya umri wa miaka Sita, katika ukuaji wa akili na Mwili wake. Hamad Rashid, alihudhuria sherehe za maadhimisho ya Wiki ya unyonyeshaji Mkoa wa Morogoro yaliyofanyika katika vi.. read more