Kwa mujibu wa shirika la Afya duniani WHO
limesema, theluthi ya watoto waliozaliwa na uzito wa chini hufariki ndani ya
masaa 12 ya kwanza.

Aidha
shirika hilo limesema hii husababishwa na Ukosefu wa huduma bora zinazotolewa na vituo
vingi vya afya maeneo mbalimbali nchini Tanzania.