Uongozi wa shule ya msingi GONGONI
katika halmashauri ya Manispaa ya TABORA, umeweka mikakati ya kutoa majaribio
ya masomo kila wiki ili kuwajengea wanafunzi uwezo kitaaluma na kuongeza ufaulu.

Akizungumza
na tanzaniakidstime blog Mwalimu
mkuu wa shule ya msingi GONGONI, FELIX GAITAN amesema mikakati hiyo, imesaidia
kuongeza ufaulu kwa wanafunzi ambapo katika matokeo ya darasa la saba mwaka
jana, walishika nafasi ya tano kiwilaya.

Aidha GAITAN amesema mkakati mwingine
ni kuhakikisha walimu na wanafunzi wanafika kwa wakati shuleni ili kuendelea na
ratiba ya masomo ya kila siku.

Baadhi ya wanafunzi wa darasa la saba
katika shule hiyo, wamesema kwamba mkakati wa kupewa majaribio kila wiki
umewasaidia na ikiwa tayari wanaendelea kujipanga kufaulu vizuri katika
mitihani ya darasa la saba mwaka huu 2018.

Kwa mujibu wa mwalimu mkuu wa shule ya
msingi GONGONI amesema mkakati huo umesaidia shule hiyo mara kwa mara kuwa
katika shule kumi bora kiwilaya katika matokeo ya mtihani wa darasa la SABA
mwaka 2017. Imetumwa na mwandishi wetu kutoka Tabora.