Wazazi
na walezi Manispaa ya Morogoro wameshauriwa kuwalea watoto katika malezi bora
kwa kuzingatia misingi na kanuni za Afya ili kuwaepusha na magonjwa ya lishe
duni kama utapiamlo.

Akizungumza
na tanzaniakidstime Mwalimu wa shule ya awali ya Ebeneza Irene Mallya ameeleza kuwa, wazazi na walezi
hawazingatii muda maalumu uliopangwa kwenda kuwachukua watoto wao shuleni hapo
jambo ambalo hupelekea mtoto kukaa kwa muda mrefu pasipo kupata chakula.

Mwalimu
Mallya amesema kwamba, wazazi na walezi wanatakiwa kufuatilia kwa ukaribu, maendeleo
ya watoto wanapokuwa katika shule mbalimbali ili kufahamu mapungufu yaliyopo shuleni hapo,
kufuatilia mwenendo wa mwanafunzi na waalimu.

Hata
hivyo Mwalimu Mallya amewataka wazazi na walezi wa shule hiyo, kufuata
utaratibu wa malipo ya ada kwa watoto hao ili kuongeza hamasa kwa walimu katika
utoaji bora wa Elimu.