Mganga mkuu wa hospital mkoa wa Morogoro Dr.Frank Jacob amewataka Wazazi,Walezi na Jamii kwaujumla kufuata utalatibu na kanuni za Lishe ilikuondokana na tatizo la Utapia mlo katika familia mbalimbali mkoani humo.
Ameyasema hayo kupitia kipindi cha Watoto viongozi Wakesho kinacho lushwa nakituo kimoja chaledio mkoani humo huku akibainisha kwamba mkoa wa Morogoro wako watoto wengi walio na tatizo la utapia mlo ukilinganisha nikati ya mikoa ilio nachakula cha kutosha kilamwaka na kilamaeneo yamkoa huo.
Aidha Dr. Jacob amesema wanao kumbwa na tatizo hilo kwawingi ni Watoto wakuanzia umli wa miaka 0-5 jambo linalo hatalisha maendeleo ya kizazi kijacho, hata hivyo amewashauli mama wajawazito kuanza kula vyakula boro pindi tu wanapokua wajawazito ilikumtunza Mtoto alioko tumboni jambo litakalo muongezea Mtoto akili atakapo kua shuleni.
MGANGA MKUU WA MKOA WA MOROGORO DR.FRANK JACOB AMEWATAKA WAZAZI, WALEZI NA JAMII KWA UJUMLA KUZINGATIA KANUNI ZA AFYA ILIKUONDOKANA NA TATIZO LA UTAPIA MLO.
Leave a comment