Kila mwaka Shirika la Afya Duniani WHO linakadiria kupokea kesi zaidi ya milioni 200 za malaria duniani kote.
Na vifo vinavyo ripotiwa ni zaidi ya 400,000 dhidi ya Watoto Katika Jamhuri ya Afrika ya Kati na Sudan Kusini.
WHO imesema kwamba ugonjwa wa malaria unaua watu zaidi kuliko vita, hivyo hupoteza Watoto wengi juu ya tatizo hilo.