Mwalimu
wa Sekondary Bravo iliyopo Halmashauli ya Mji wa Ifakara Awazi Palangu
amewaomba Wazazi na walezi kuwaeleza ukweli watoto wao hali halisi ya
uchumi wafamilia zao.

Palangu
amesema hayo baada ya kuwaona watoto wengi hawapewi mahitaji yao muhimu ya
shuleni kwa wakati,jambo linalo mzohofisha mtoto
kisaikolojia hivyo wazazi ni vyema kuwaeleza ukweli halihalisi ya
maisha yao ya kilasiku.

Aidha amesema Mara nyingi watoto wanawaamini wazazi au walezi wao wanapo waahidi jambo zuri
kuwatendea kamavile kuwanunulia nguo mpya,viatu na mabegi inapotokea ahadihiyo kutokamilika kwa sababu zaki
uchumi watoto hukosa amani na kuweza
kupoteza uaminifu kwa mtu ambaye alimuahidi, kumpatia zawadi jambo linaloweza
kumsababisha ajiingize kwenye vitendo vya vibaya kama wizi na uzulumati.

Salma Amiti na Olesti Asenga wao
niwazazi wamesema unapomwambia mtoto ukweli wa hali ya kiuchumi wako itasadia
kumpa furaha siku ukimfanyia jambo zuri bila yeye kumpa taarifa juu ya zawadi
utakayo mpatia siku hiyo .