Kila
ifikapo Feb 13, Dunia huadhimisha maashimisho ya Radio ikiwa nchini Tanzania huadhimishwa
makao makuu ya nchi mjini Dodoma.

Maadhimisho
hayo yanajumuisha waandishi wa habari wa vyombo vya habari vya jamii
kutoka Tanzania Bara na Visiwani na Wadau wengine wa habari, huku Mgeni Rasmi
katika maadhimisho hayo atakuwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo
Mh. Dkt. Harrison Mwakyembe.

Kauli
Mbiu ya Redio Jamii mwaka 2018 ni Redio na Michezo huku msisitizo mkubwa
ukielekezwa kwenye utandawazi katika suala la kutoa kipaumbele cha kutangaza
michezo, usawa wa kijinsia katika michezo na kutangaza michezo pamoja na
kuhuisha amani kupitia michezo.

Redio
zimekuwa na mchango mkubwa katika kuibua matatizo yanayowakabiri watoto na
kupunguza matatizo hayo pamoja na kuibua vipaji ikiwepo michezo ambayo
huwasaidia kujifunza mambo mbalimbali.

Michezo
kwa watoto ni nyenzo ya ujenzi wa jamii bora huku ikiwepo baadhi ya michezo ya asili (jadi) ambayo watoto wengi
hucheza ni kama vile kuruka kamaba, kuimba, rede, komborela, mdako, nage na
ukuti.

Je, ilkiwa leo ndio siku ya radio duniani
Watoto wana pewa nafasi gani kushiriki kuwasilisha mawazo yao chanya kwenye
jamii yao? Hasa kwenye michezo yao, kugudua
vipaji vyao,kama vile Utangazaji, Uwandishi wa habari na kuviendeleza?