Baadhi ya Wazazi nchini Rwanda wanakutana
katika Vyumba vya Nyenzo-rejea katika shule zao za mitaa ili kujenga vifaa vya
kuchezea na kujifunza kama mipira, michoro na vitu vingine vya kuona.
Hizi
ni Rasilimali nzurikwaajili ya kufundishia watoto pia ni muhimu kwa kuimarisha
kujifunzia na husaidia wazazi kukaa kushiriki UNICEF Rwanda imesema.
somo la sitadi za kazi nimuhimu sasa kutilia maanani mashuleni.
Leave a comment