By using this site, you agree to the Privacy Policy and Terms of Use.
Accept
Tanzania Kids Time
  • Home
  • Afya
  • Elimu
  • Haki Za Watoto
  • Mazingira
  • Uchambuzi na Takwimu
  • Wasiliana Nasi
Reading: wazazi na walezi wanapo wakutanisha watoto katika familia upendo huzidi.
Share
Notification Show More
Latest News
Mapendekezo ya Mradi wa Sauti zetu ni Muhimu kwa Mkakati wa Elimu Jumuishi
Elimu Haki Za Watoto
Mafanikio ya Shirika la SAWA Kuwezesha Wazazi Kuziishi Stadi za Maisha na Maadili
Elimu
Sababu ya Mradi wa ALiVE Kufanikiwa Kutengeneza Vinara Zaidi ya 300 Tanzania
Elimu Haki Za Watoto
KONGANI YA ELIMU YA MTANDAO WA ELIMU WA KIKANDA – RELI AFRIKA YAONGOZA MAADHIMISHO YA SIKU YA WALIMU DUNIANI.
Elimu
TANZANIA WILL HOST CIGOFA4 TO FIND CONCRETE SOLUTIONS FOR YOUTH LAND QUESTIONS
Editor's Pick
Aa
Aa
Tanzania Kids Time
  • Afya
  • Elimu
  • Haki Za Watoto
  • Home
  • Afya
  • Elimu
  • Haki Za Watoto
  • Uchambuzi na Takwimu
  • Mazingira na Mabadiliko ya Tabianchi
  • Contact
Follow US
  • Advertise
© 2022 Foxiz News Network. Ruby Design Company. All Rights Reserved.
Tanzania Kids Time > Blog > Uncategorized > wazazi na walezi wanapo wakutanisha watoto katika familia upendo huzidi.
Uncategorized

wazazi na walezi wanapo wakutanisha watoto katika familia upendo huzidi.

Tanzania Kids Time
Last updated: 2024/01/04 at 8:17 AM
By Tanzania Kids Time 1 Min Read
Share
SHARE

FEB 18,
2018
Wazazi,na walezi wanapaswa
kuwakutanisha watoto mara kwa mara  kiundugu, kifamilia,  lengo likiwa
ni kufahamiana  ili kuepuka  hali ya kutofahamiana ambapo huweza kutomthaminiana
wenyewe kwa wenyewe, au kuoana ndugu kwa ndugu hapo  baadae wanapokuwa
wakubwa.
Ushauri huo umetolewa na
baadhi ya wazazi  katika halmashauri ya Mji wa Ifakara  Mkoani
Morogoro baada ya kuona baadhi ya walezi na wazazi hawakutanishi watoto mara
kwa mara ambao ni ndugu kwa muda mrefu, jambo ambalo watoto hushindwa kuwafaham
ndugu zao.
Baadhi  ya wazazi
akiwemo Buruhani Kilindila na Hadija
Mahangila
‘wamesema kuwa ni vyema  wazazi wenzao wawe na tabia ya
kukutanisha watoto na kuwatambulisha kwandungu zao  hata kama  hali
zao kiuchumi ni mbaya. Hivyo watoto hujenga upendo mzuri wakati wakufahamiana
mapema kupitia wazazi.
Aidha wamesema wazazi wenye
hali nzuri ya kiuchumi wasiwatenge ndugu zao wenye hali ngumu kwani huweza kuwa
chanzo cha kutowakutanisha watoto  wao katika familia zao hata hivyo
wakati mzuri wakuwakutanisha niwakati wa likizo kwa wanafunzi na wakati
washerehe za mwisho wa mwaka.

You Might Also Like

ENERGY AND NEO-COLONIALISM IN AFRICA, NO ANSWERS?

WAHITIMU WATAKAO JIUNGA DARASA LA KWANZA MWAKA 2023

ATHARI ZA NDOA ZA UTOTONI KIUCHUMI

SIKU YA WATOTO WALIOZALIWA KABLA YA KUKOMAA

ATHARI ZA NDOA ZA UTOTONI KIELIMU

Tanzania Kids Time February 18, 2018
Share this Article
Facebook Twitter Email Print
Previous Article unicef tanzania ya toa maono juu ya vijana nchini kufikia 2025.
Next Article mpango wa elimu wkuwafikia watoto wengi zaidi kwa njia ya radio.
Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

Facebook Like
Twitter Follow
Youtube Subscribe
Telegram Follow
- Advertisement -
Ad image

Latest News

Mapendekezo ya Mradi wa Sauti zetu ni Muhimu kwa Mkakati wa Elimu Jumuishi
Elimu Haki Za Watoto
Mafanikio ya Shirika la SAWA Kuwezesha Wazazi Kuziishi Stadi za Maisha na Maadili
Elimu
Sababu ya Mradi wa ALiVE Kufanikiwa Kutengeneza Vinara Zaidi ya 300 Tanzania
Elimu Haki Za Watoto
KONGANI YA ELIMU YA MTANDAO WA ELIMU WA KIKANDA – RELI AFRIKA YAONGOZA MAADHIMISHO YA SIKU YA WALIMU DUNIANI.
Elimu
//

Tanzania Kids Time: A platform spotlighting children’s and women’s issues in Tanzania, focusing on education, health, and environmental conservation.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

© 2023 Tanzania Kids Time. Powered by Digital Media Innovation Program. All Rights Reserved.

Join Us!

Subscribe to our newsletter and never miss our latest news, podcasts etc..

Zero spam, Unsubscribe at any time.

Removed from reading list

Undo
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?