February
23, 2018
23, 2018
Kituo
cha Afya cha Kibaoni, wilaya ya Kilombero Mkoani Morogoro
kinakabiliwa na changamoto ya watoto wachanga zaidi ya watatu
hadi wanne kulazwa kwenye kitanda kimoja.

Wakizungumza
na Tanzaniakidstime baadhi ya akina mama wamesema kuwa hali hiyo ni changamoto
kwao, kwani hulazimika kuwalaza watoto wachanga kwenye kitanda kimoja zaidi ya
watatu kutokana na uhaba wa wodi.

Aidha
pamoja na changamoto hiyo inayowakabili akina mama hao pindi wanapojifungua
wamesema kuwa, hawana njia mbadala zaidi ya kufanya hivyo kutokana na
huduma hiyo katika kituo cha Afya Kibaoni kutolewa bure.

Mratibu
wa Huduma za Afya ya Uzazi kwa Babaa, Mama na Mtoto Halmashauri ya Wilaya
ya Kilombero Bi Dionisia Danda amekiri Kuwepo kwa changamoto hiyo, inatokana na
chumba cha wazazi kuwa kidogo ukilinganisha na idadi kubwa ya wazazi ambao
hujifungua katika kituo hicho.

Pia
Bi. Dionisia amesema kuwa, zaidi ya
watoto 320 hadi watoto 400 huzaliwa ndani ya mwezi mmoja pekee, hivyo idadi
hiyo ya watoto hailingani na uwezo wa wodi hiyo ya wazazi

Hata
hivyo amebainisha kwamba, wanamkakati wa kuongeza majengo hususani wodi ya wazazi ili kuitatua changamoto hiyo.