February
23, 2018.
23, 2018.
Wazazi na Walezi wametakiwa
kuwahimiza watoto kwenda shuleni ili kujifunza mambo mbalimbali na wakiwapo
nyumbani wanapaswa kujisomea mara kwa mara huku wazazi hao wakiwakagua daftari
zao mara baada ya kutoka shuleni.

Hayo yameelezwa na baadhi ya wazazi Raphael
Mwango na Pius Mwenda mjini Ifakara Mkoani Morogoro wakati wakitoa maoni yao
juu ya uhamasishaji wa elimu shuleni kwa watoto wao.

Aidha wameeleza kwamba, watu
ambao hukaa na watoto ni vema kuwa makini kwa kuwakumbusha watoto kujisomea
nyumbani wakati wanapotoka shule ili kuongeza ufaulu wa mwanafunzi katika
masomo yake.

Pia wamewataka wazazi na walezi
kuwapa uhuru watoto wao katika michezo mbalimbali kwa ajili kuimarisha viungo, kuongeza ufahamu ili kujijengea uwezo wa kutambua mambo mbalimbali
ikiwa huimalika kimwili na kiakili.