HAKIELIMU imezindua ripoti ya tathimini ya Mafunzo na Ushirikishwaji wa
Wanafunzi wenye changamoto za uoni katika Shule Jumuishi nchini Tanzania
ambayo imebainisha changamoto mbalimbali zinazowakabili wanafunzi hao
wenye changamoto ya uoni pamoja na kutoa mapendekezo kwa Serikali, Shule
Jumuishi, Wazazi na Walezi juu ya nini kifanyike.
Hakielimu yatoa riport ya tathimini ya wanafunzi wenye tatizo la kuto ona vizuli.
Leave a comment