Shirika la mpango wa chakula duniani (WFP) Tanzania limesema ijapo tatizo la
njaa liko katika maeneo mbalimbali Tanzania na nje ya nchi inabidi kila mmoja
achukue hatua ya kusaidia chakula kwa walio wahitajizaidi ilikuokoa uhai wao.

“Ikiwa
huwezi kulisha watu mia moja, basilisha mtu moja tu kwakufanya hivyo utakua
umeokoa maisha.” Mama Teresa amesema kua Kama kila mmoja
wetu angepaswa kufuata ushauri huu, basi tunaweza kulisha dunia.