Waziri Wa Afya Maendeleo ya jamii jinsia wazee na watoto nchini Tanzania Mh. Ummy Mwalimu
amewata wazazi na walezi kuona umuhimu kwa watoto wao kuwapeleka kwenye vituo
vya afya kwaajili ya kupata chanjo ya Saratani ya Mlango wa kizazi.

Mkutano
Wadau wa Chanjo ya Saratani ya Mlango wa Kizazi (HPV Vaccine). Serikali itaanza
kutoa Chanjo hii kwa Wasichana wote wa miaka 9 – 14,Chanjo hii itatolewa bila
Malipo katika Vituo vyote vinavyotoa Huduma za Afya – vya Serikali, Binafsi ,na
Mashirika ya Dini Kinga ni Bora kuliko Tiba.