Watafiti wa Chuo
Kikuu cha Northwestern wanadai kuwa mtoto wa miaka 5 anatumia glukosi katika ubongo
wake mara mbili zaidi ya mtu mzima hivyo kufanya ukuaji wa mwili kuwa mdogo.
Katika umri wa miaka 5 mtoto hujifunza mengi kitu kinachofanya ubongo kuhitaji
nguvu nyingi.