05 FEBR 2018 WIZARA YA AFYA TANZANIA
Wizara ya Afya kupitia kitengo cha
maendeleo ya jamii jinsia wazee na watoto nchini imesema mikoa inayo ongoza kwa
matukio ya ukatili dhidi ya watoto kama vile Ubakaji na Ulawiti nikanda ya
pwani ikiwemo Dar es salamu,Tanga,Lindi,Mtwar na Pwani kwa Tanzania bara huku Tanzania visiwani
ikishika nafasi ya kwanza.

Akizungumza na Okoa Fm Radio kwa mahojiano maalum kupitia kipindi cha Watoto Mkurugenzi msaidizi wa Idara ya Watoto
Nd. Benedict Misan amesema idadi ya
watoto wanao fanyiwa vitendo vya ukatili kwa sasa inaonyesha kuongezeka jambo
ambalo sikweli isipokuwa kwasasa matukio hayo huripotiwa kwahalaka zaidi kwenye
vyombo vya habari.

Hata hivyo amesema kwamba kila mzazi na
walezi hawapaswi kumwamini mtu yeyote awe ndugu na wageni wanao tembelea ndani
ya familia zao kuwakabidhi watoto wadogo kulala nao chumba kimoja kwani utafiti
uliofanywa unaonyesha kwamba walio fanya ukatili huo niwatu wandani ya familia.

Aidha Nd, Misan amebainisha kwamba serikali
kupitia wizara ya afya wameweka mpango wamiaka mitano kuzuia ukatili dhidi ya
watoto kuanzia mwaka 2017 hadi 2022 ambapo huduma za Uelimishaji na Utoaji wa taarifa
kwenye madawati ya jinsia, Nawanao jihusisha na vitendo hivyo maramoja huku yao hutolewa na kutumikia kifungo endapo akibainika na kosahilo.

Saimoni
Zabron yeye ni msimamizi mashauri kutoka kwenye shirika lisilo la kiserikali
liitwalo Hacoca linalo pinga ukatili
kwa mama na mtoto lililopo mkoani morogoro amesema wanapokea kesi nyingi
zaukatili kutoka maeneo mbalimbali yamkoa hasa ikiwemo wilaya ya
Mvomero,Morogoro manispaa na Kilosa.