Watoto
wanatakiwa kufundishwa au kulelewa malezi bora ya imani ya kumjua mungu ili
kumsadia kutambua mambo mema na mabaya katika makuzi yake ambayo husaidia
kuishi vema katika jamii inayo mzunguka na familia kiujumla.

Wakizungumza na Tanzania kidstime Mchungaji wa
Kanisa la Victory Pendecost lilipo Halmashauri ya Mji wa Ifakara mkoani
morogoro Potas Mpyiki amesema watoto wanatabia ya kuiga au kujifunza mambo
mengi wanapokuwa wadogo hivyo ni vema wakalelewa kwa maadili mema na wanapokuwa
katika makuzi yao maana hawataiacha njiahiyo hadi watakapokuwa wazee.

Hatahivyo amesema watoto wanapaswa kuikwaimani
tangu wadogo ilikujenga tabia na yenye maadilikwa jamii inayo wazungunga,jambo
hilo likifanywa kwa usahihi nahofu ya mungu hata ukatili hautakuwepo kwanye
jamii.

Aidha Mpyiki amewaomba wazazi na walezi
kuwapeleka katika mahali pa kujifunza imani mara tu wanapofika umri wa
kujitambua kiakili .