08 MARCH 2018 IFAKARA AFYA
Kitengo cha huduma ya mama na
mtoto katika Hospitali ya Rufaa Ifakara Mkoani Morogoro kimewataka wanaume na
wajawazito kwenda cliniki kila mwezi mara baada ya kugundua mkewe amepata
ujauzito.

Akizungumza na Tanzaniakidstime mmoja wa wahudumu katika kitengo hicho
Hidaya Lyakunga amesema kuwa, lengo ni kupima afya zao na endapo
watabainika kuwa na magonjwa mbalimbali ikiwemo Kaswende, na malaria yatadhibitiwa
mapema ili kwa kumkinga mtoto.

Aidha Bi. Hidaya amesema mama
mjamzito ni vema kuhudhuria kliniki mapema ili kupatiwa elimu ambayo itamsaidi kuepukana magonjwa ya kuambukizwa pia kutambua
kundi lake la damu, pamoja na kujua maeendeleo ya mtoto aliyepo tumboni.

Pia amesema kuwa, wajawazito ambao
hawapendi kuhudhulia kliniki wapo katika hatari ya kupatwa na matatizo
mbalimbali baada ya kukosa ushauri na elimu juu ya afya wakati wa ujauzito
kikiwapo kifafa cha mimba, kuharibikiwa na mimba, kuzaa mtoto mlemavu, pamoja na kuzaa mtoto akiwa na maambukizi ya
magonjwa mbalimbali.