Malengo ya Maendeleo ya kudumu.
Dunia inamalengo na ilikuya fikia malengo hayo
nilazima iwepo mikakati ya kuyakamilisha , miongoni mwa mwalengo hayo ni swala
la Elimu kwa watoto hasa kwa nchi zilizo kusini mwa jangwa la sahara ,

Nahili ni Lengo
la 4: Nikuhakikisha elimu ya ubora na usawa na kukuza fursa zote za kujifunza
kwa wote

Uandikishaji
wa watoto kwa elimu ya msingi katika nchi zinazoendelea umefikia asilimia 91,
lakini watoto milioni 57 bado hawana nafasi shuleni.

Zaidi
ya nusu ya watoto ambao hawajasajiliwa shuleni wanaishi bara la Afrika, Kusini
mwa Jangwa la Sahara.

Inakadiriwa
asilimia 50 ya watoto wasio na umri wa kuanza shule ya msingi wanaishi katika
maeneo yaliyoathiriwa na migogoro.

Watoto
katika kaya masikini ni mara 4 kama uwezekano wa kuwa shuleni kama watoto
katika kaya tajiri. www.tz.undp.org