Mkurugenzi Mtendaji wa shirika la Umoja wa
Mataifa la kuhudumia watoto, UNICEF amehitimisha ziara yake huko Sudan Kusini
ambako licha ya kushuhudia madhila yanayokumba watoto ikiwemo utapiamlo
uliokithiri , ameleta faraja kwa familia zilizokuwa zimetengana na watoto
watoto wao.

Nchini Sudan Kusini, katika moja ya miradi
ya maji ya mto Nile, Henriette H. Fore,
Mkurugenzi Mtendaji wa UNICEF akiwasili na kulakiwa kukagua mradi wa maji
yanayotumiwa na wakimbizi wa ndani…

Mkurugenzi huyo wa UNICEF, Foreamepata
nafasi yakusikiliza simulizi kutoka kwafanyakazi
wa UNICEF katika hospitalini nchini Sudan Kusini.

Alipotoka
hapo alitembelea hospitali ya watoto ya Al Sabbah mjini Juba akashuhudia watoto
waliokabiliwa na utapiamlo uliokithiri, wakipatiwa tiba kwa njia ya mpira,Alielezwa
na wauguzi jinsi wanavyokuwa na mtihani kwani watoto wagonjwa ni wengi lakini
nafasi ya matibabu ni ndogo. Tembelea www.news.un.org