Shirika la
hacoca lililopo ndani ya halimashauli ya
morogoro linalo shughulika na kupinga ukatili wanao fanyiwa wanawake na watoto
limeendelea kutoa elimu kwa wazazi , walezi na vijana kuona umuhimu kwa mama na
mtoto katika jamii.

Elimu hiyo
imetolewa leo katika viwanja vya shule ya msingi Azimio ikiwa nimuendelezo
wasiku ya mwanamke duniani ambayo hufanyika March 8 kila mwaka huku Bi,Sidina
Mathias afisa usitawi wajamii ngazi ya halimashauli ya morogoro akiwa mgeni
lasimi katika tukio.

Akizungumza
na okoa fm Bi, Sidina amesema nivema jamii kuonyesha ushirikiano kwa wanawake
kwa kuwawezesha mitaji na mawazo ilikuijenga Tanzania ya viwanda.

Hata hivyo Watson Mwankusye ambae nimsemaji wa ziala katika shirika hilo
amesema kuna wanawake wengi na watoto wenye shida katika familia zao hivyo
huitataji faraja na matumaini kutoka kwa jamii husika ilikukuza uchumi wa
familia.