Shirika la afya duniani WHO limesema, Watu zaidi ya bilioni 2.4 wameambukizwa kifua kikuu. Viongozi wa dunia wanapaswa kuonyesha kujitolea kwao kuhakikisha kwamba kila mtu aliyeathiriwa na TB anapata uchunguzi, matibabu na huduma. Ambapo tatizo hilo linaua watu milioni 1.7 kila mwaka.