Rais wa Baraza la Usalama kwa mwezi huu wa Machi ni Uholanzi ambapo
Waziri wake wa Mambo ya Nje Stef Blok ndiye aliongoza kikao hicho.
Bwana Blok alionyesha picha za
watoto wa Syria ambao angalau wao waliweza kukimbia nchi hiyo na sasa wanaishi
Uholanzi akisema wao walibahatika.

Alihoji vipi kwa wale waliosalia
Syria?
Syria?
“Nini mustakhbali wa
watoto walio kwenye picha niliyoonyesha. Je siku moja wataweza kurejea Syria.
Kama ilivyo kwa watoto wote, nao wanatamani maisha ya kawaida, utulivu na
usalama. Mimi mwenyewe ni mzazi na nadhani siko peke yangu kwenye Baraza hili.
Picha za watoto walioathirika kwa vita lazima zinamgusa kila mtu. Licha ya
tofauti zote baina yetu, angalau tuwe na jambo la pamoja, imani ya kulinda
watoto lazima ipatiwe kipaumbele.”

Na ndipo akaweka bayana.
“Ni wajibu yetu kurejesha uhalali wa baraza
hili. Ni juu yetu kuhakikisha kuna mchakato wa kisiasa ambamo kwamo wasyria na
wadau wote wanawakilishwa. Na ni wajibu wetu kumaliza chuki na kurejesha utu na
ubinadamu kwa wananchi wa Syria.”

Tarehe 15 Machi
2018 familia za eneo la Beit Sawa huko Ghouta Mashariki nchini Syria
wakisubiria mabasi ya kuwahamishia maeneo mengine salama huko Hamourieh.

Hali ni mbaya zaidi huko Ghouta
Mashariki na Idlib. OCHA inasema kuwa tangu tarehe 9 mwezi huu zaidi ya watu
80,000 wamekimbia Ghouta.Kama hiyo haitoshi, zaidi ya watu
elfu 50 wanaishi kwenye makazi duni yaliyojaa kupita kiasi. Taarifa hii ni kwamjibu wa radio ya umoja wa mataifa UN RADIO.